Rudi Matangazo

Tangazo

📢 ZOEZI LA USAJILI WA VIONGOZI NA WANACHAMA WA EX-CASFETA

04 Julai 2026

Karibu ujisajili kwenye mfumo mpya wa EX-CASFETA. Mfumo huu umeandaliwa kurahisisha mawasiliano, kuboresha utendaji na kuhakikisha wanachama wanapata taarifa muhimu kwa wakati. Taarifa zako zitalindwa kwa usalama wa hali ya juu na faragha yako imezingatiwa.
Tunawaomba viongozi kujisajili kwanza, kisha zoezi litafunguliwa kwa wanachama wote. Shiriki leo ili uwe sehemu ya mtandao imara wa EX-CASFETA na usikose taarifa, matukio na fursa mbalimbali.
EX

Weka App ya EXCASFETA - MOCU

Sakinisha kwenye kifaa chako kwa ajili ya kufungua haraka, kupokea taarifa na kutumia hata bila mtandao.

Jinsi ya kuweka kwenye iPhone/iPad:

  1. Bofya kitufe cha Share chini ya Safari (⎙ / ⬆)
  2. Telezesha chini kisha chagua 'Add to Home Screen'

Kwenye kompyuta yako:

Bofya ikoni ya kupakua au kuweka app (⊕ / 💻) iliyopo mwishoni mwa mwambaa wa anwani (Address bar ya Chrome au Edge) ili kuiweka kama app.