Rudi Matangazo

Tangazo

MABORESHO YA KATIBA YA KIKUNDI

18 Mei 2026

Kamati Tendaji kwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali imefanya maboresho ya katiba kwenye baadhi ya vipengele, ili kuendana na matakwa ya wanachama na hitaji la wakati.

Wanachama Wote, mnakumbushwa kupakua na kusoma upya maboresho ya katiba kwenye tovuti yetu ya EX-CASFETA USHIRIKA