Rudi Matangazo

Tangazo

Usajili wa Wanachama Wapya Umefunguliwa

18 Mei 2026

Tunafurahi kutangaza kwamba usajili wa wanachama wapya wa EXCASFETA kwa mwaka 2026 umefunguliwa rasmi. Wahitimu wote wa CASFETA wanakaribishwa kujiunga.